![]() |
Kiiza akijiandaa kupiga shuti |
![]() |
Kipa Hussein Sharrid 'Casillas' wa Mtibwa Sugar akizuia mchomo wa mshambuliaji wa Yanga SC, Jerry Tegete |
![]() |
Daktari wa Yanga, Nassor Matuzya akimtibu kiungo wa Yanga, Simon Msuva baada ya kuumia katika moja ya pilika za mchezo huo |
![]() |
Kiungo wa Mtibwa Sugar, Shaaban Kisiga 'Malone' akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Yanga, Athumani Iddi 'Chuji' na Mbuyu Twite kulia |
![]() |
Wachezaji wa Mtibwa wakimpongea Kisiga baada ya kuifungia timu yao bao la kuongoza leo |
![]() |
Kikosi cha Mtibwa leo |
![]() |
Kikosi cha Yanga leo |
![]() |
Hamisi Kiiza wa pili kutoka kushoto na Said Bahanuzi kabla ya kuingia kuinusuru Yanga leo |
![]() |
Kipa Hussein Sharrif 'Casillas' akiwa ameruka juu kuokoa moja ya hatari langoni mwake |
![]() |
Casillas anampokonya mpira miguuni Tegete akienda kufunga |
![]() |
Simon Msuva wa Yanga kushoto akimtoka beki wa Mtivwa |
![]() |
Didier Kavumbangu alifanikiwa kumlamva chenga Casillas, lakini akapiga nje |
![]() |
Kavumbangu anamlamba chenga Casillas |
![]() |
Tegete chini ya ulinzi mkali wa mabeki wa Mtibwa |
![]() |
Tegete ameacha mpira, baada ya Casillas kuuzuia |
![]() |
Beki wa Mtibwa, Salum Swedi akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbangu |
![]() |
Beki wa Mtibwa, Said Mkopi akiondosha mpira kwenye hatari mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Hamisi Kiiza |
![]() |
Kiungo wa Yanga, Frank Domayo akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mtibwa, Rashid Gumbo |
![]() |
Haruna Niyonzima akiondoka na mpira mbele ya mchezaji wa Mtibwa |
![]() |
Casillas hapa anazuia mchomo wa Msuva |
![]() |
Shaaban Nditi akitafuta mbinu za kumpokonya mpira, Haruna Niyonzima mbele |
![]() |
Msuva akimtoka Issa Rashid 'Baba Ubaya' |
![]() |
Mpira umetulia nyavuni, bao la Mtibwa huku wachezaji wa Yanga wakilaumiana na kipa wao |
![]() |
Casillqas akiwalalamikia mabeki wake, mpira uko nyavuni mfungaji Kiiza anaanza kushangilia akisindikizwa na Tegete |