![]() |
| Kocha Msaidizi wa Azam FC, aliiongoza timu leo baada ya bosi wake, Muingereza mwenzake, Stewart Hall kutolewa nje kipindi cha kwanza kwa kutoa lugha chafu |
![]() |
| Shomary Kapombe wa Simba (kushoto) akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, David Mwantika |
![]() |
| Kipre Tchetche wa Azam akiwania mpira mbele ya beki wa Simba SC, Miraj Adam |
![]() |
| Mrisho Ngassa wa Simba SC (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Azam FC, David Mwantika |
![]() |
| Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira akiwa amedaka mpira wa juu |
![]() |
| David Mwantika wa Azam akiondosha mpira miguuni mwa Shomary Kapombe |
![]() |
| Wachezaji wa Simba na Azam wakigombea mpira wa juu |
![]() |
| Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Azam FC, akiondoka na mpira pembeni ya kiungo wa Simba SC, Amri Kiemba |
![]() |
| Mwadini Ally, kipa wa Azam akiwa amejishika kiuno baada ya kufungwa bao la pili |
![]() |
| Wachezaji wa Simba SC wakishangilia bao la pili mbele ya jukwaa la mashabiki wao |
![]() |
| John Bocco wa Azam amefumua shuti mbele ya mabeki wa Simba SC |
![]() |
| Mussa Mudde wa Simba SC kulia akimiliki mpira pembeni ya john Bocco wa Azam |
![]() |
| John Bocco akituliza mpira kwa kifua... |
![]() |
| Himid Mao wa Azam kushoto akimiliki mpira pembeni ya Amri Kiemba wa Simba SC |
![]() |
| 11 wa Simba SC walioanza leo |
![]() |
| Wa benchi; Kutoka kulia kocha Patrick Liewig, Juma Kaseja, bFelix Sunzu, Mwinyi Kazimoto na Edward Christopher |
![]() |
| 11 wa Azam walioanza leo |
![]() |
| Kocha Msaidizi wa Simba SC, Jamhuri Kihwelo akilalamika jambo kwa refa wa akiba, Israel Nkongo |
![]() |
| Mashabiki wa Yanga walikuwepo Taifa leo kuishangilia SImba SC |
![]() |
| Kipre Tchetche amelala chini kupiga mpira dhidi ya Shomary Kapombe |
![]() |
| Kipre Tchetche akimkimbia Shomary Kapombe... |
![]() |
| Mfungaji wa mabao ya Simba SC leo, Ramadhani Singano 'Messi' |
![]() |
| John Bocco anapasua... |
![]() |
| Bao: Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira akichupa kulia, mpira ukienda kushoto kwake kufuatia mkwaju wa penalti wa Kipre Tchetche |
![]() |
| Michezo ni furaha, si uadui; Mrisho Ngassa wa Simba SC akifurahia na Himid Mao wa Azam baada ya mechi. Kushoto kabisa ni Kocha wa Viungo wa Azam, Ibrahim Shikanda |
![]() |
| Kipre Tchetche akiokota mpira kwenye nyavu za Simba pembeni ya kipa Abbel Dhaira baada ya kufunga penalti |
![]() |
| Kocha Stewart Hall akimsemea mbovu refa Orden Mbaga, jambo lililomponza kutolewa uwanjani |






























.png)