Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Adriana Lyamba akimzawadia, Abdulfatah Salum, mmiliki wa hoteli ya Sapphire Cpourt ambaye ni mmoja wa wateja katika uzinduzi wa huduma mpya ya wateja ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam, akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Sunil Colaso.

Mkurugenzi mkuu wa Airtel, Sunil Colaso akimzawadia bi Rose Maina mmoja wa wateja katika uzinduzi wa huduma mpya kwa wateja ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam akifuatiwa na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja bi Adriana Lyamba.