![]() |
Ramadhani Singano 'Messi' akimtoka beki wa Mgambo |
![]() |
Amri Kiemba akipambana na mchezaji wa Mgambo |
![]() |
Hatari kwenye lango la Mgambo |
![]() |
Amri Kiemba akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Mgambo |
![]() |
Mtaalamu Kiemba... |
![]() |
Haruna Shamte akiwa ameruka na kipa wa Mgambo, Godson Mmasi |
![]() |
Pozi la kiafande; Kocha Mfaransa wa Simba SC, Patrick Liewig akiwa mbele ya wachezaji wake kama mlinzi wao |
![]() |
Kikosi cha Mgambo leo |
![]() |
Kikosi cha Simba leo |
![]() |
Makocha Wasaidizi, James Kisaka, Moses Basena na Jamhuri Kihwelo |
![]() |
Walipumzishwa wote hawa..kumsubiri Yanga Mei 18 |
![]() |
Messi na beki wa Mgambo |
![]() |
Kwa raha zao mashabiki wa Simba |
![]() |
Messi anajiandaa kupiga kona |
![]() |
Nassor Masoud 'Chollo' na beki wa Mgambo |
![]() |
Raha ya ushindi; Wachezaji wa SImba wakimpongeza Chanongo |
![]() |
Chanongoooo.... |
![]() |
Chanongo akielekea kufunga bao la pekee... |
![]() |
Messi noma bwanaaaa... |
![]() |
Haruna Shamte anapambana...Edward Christopher kulia akiwa tayari kusaidia |
![]() |
Messi akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Mgambo |