• HABARI MPYA

    Saturday, July 13, 2013

    KIIZA HUYU HAPA NA MABOSI WA YANGA TAIFA

    IMEWEKWA JULAI 13, 2013 SAA 12:00 JIONI
    Huyu ni wa Jangwani tu; Kigogo wa usajili wa Yanga SC, Seif Ahmad 'Magari' akiwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Friday Kiiza Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya mechi kati ya Tanzania na Uganda. Kiiza amewasili Alasiri ya leo kwa ajili ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Yanga SC, baada ya mvutano wa muda mrefu na uongozi wa klabu hiyo.
    Wanne tu; Kutoka kulia Kiiza,Katibu was Yanga, Lawrence Mwalusako, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Abdallah Bin Kleb na Seif Magari
    Uganda oyee; Kiiza akifurahia baada ya Uganda kuifunga Tanzania 1-0
    Ulinzi mkali; Seif Magari na Katabaro wakimsafishia njia Kiiza 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KIIZA HUYU HAPA NA MABOSI WA YANGA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top