![]() |
| Simon Msuva akimtoka Habib Kavuma |
![]() |
| Mrisho Ngassa (kulia) na Athumani Iddi 'Chuji' wakigombea mpira na Nahodha wa Uganda, Hassan Waswa |
![]() |
| Nicolas Wadada wa Uganda, akimdhibiti Mrisho Ngassa |
![]() |
| Amri Kiemba akipambana na wachezaji wa Uganda |
![]() |
| John Bocco akipiga kichwa katikati ya msitu wa wachezaji wa Uganda |
![]() |
| Kevin Yondan akiondosha mpira hatarini kwa kichwa dhidi ya mchezaji wa Uganda |
![]() |
| Ngassa na Wadada |
![]() |
| Salum Abubakar 'Sure Boy' akipiga shuti katikati ya wachezaji wa Uganda |
![]() |
| Chuji kulia na Said Kyevune wa Uganda kushoto |
![]() |
| Chuji akiondosha mpira kwenye hatari dhidi ya Habib Kavuma |
![]() |
| Frank Kalanda akimdhibiti Mrisho Ngassa |
![]() |
| Frank Domayo alilazimika kumsaidia sana David Luhende leo kabla ya kuumia na kutoka |
![]() |
| Mrisho Ngassa akiwania mpira dhidi ya wachezaji wawili wa Uganda |
![]() |
| Amri Kiermba akitia krosi pembeni ya Wadada |
![]() |
| Frank Domayo akimtoka Said Kyevune |
![]() |
| Domayo na Kyevune |
![]() |
| Sure Boy akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Uganda |
![]() |
| Domayo akipiga shuti |
![]() |
| Krosi ya Erasto Nyoni ikipitiliza, Ngassa hakuweza kunasa |
![]() |
| Kizaazaa langoni mwa Uganda |
![]() |
| Kocha wa Uganda, Milutin Sredojevic 'Micho' akimpongeza Brian Majwega kwa kazi nzuri |
![]() |
| Chuji anaosha... |
![]() |
| Kipa wa Uganda, Hassan Muwonge akidaka mpira dhidi ya Mrisho Ngassa kufuatia krosi ya Nyoni |
![]() |
| Muwonge akidaka kiulaini...ufupi ni tatizo wakati mwingine |
![]() |
| 11 wa Uganda walioanza leo |
![]() |
| 11 wa Stars walioanza leo |
![]() |
| Wajumbe wa Kamati ya Stars, Mh Zitto Zuberi Kabwe (kulia) na Jamal Rwambow wakati wimbo wa taifa wa Tanzania ukichezwa |
![]() |
| Mfungaji wa mabao mawili ya Uganda leo, Frank Kalanda akimfunga tela David Luhende |
![]() |
| Luhende akimdhibiti Majwega |
![]() |
| Wasswa akimpa paja Ngassa...hii aliigundua Gianfranco Zola mwaka 2009 Mrisho alipokuwa West Ham kwa majaribio, akamuambia akaongeze lishe |

































.png)