![]() |
| Umetukomboa; Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Tegete |
![]() |
| Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga SC, Didier Kavumbangu kulia akipongezana na wenzake |
![]() |
| Messi wa Jangwani; Abdallah Mnguli wa Yanga akiwatoka mabeki wa URA |
![]() |
| Jerry Tegete akiwatoka mabeki wa URA |
![]() |
| Mnisamahe; Jerry Tegete akionyesha ishara ya kuomba msamaha mashabiki ambao wamekuwa wakimzomea anapokosa mabao, baada ya kufunga bao muhimu leo |
![]() |
| Said Bahanuzi alicheza winga ya kulia na alipiga krosi nzuri kadhaa |
![]() |
| Said Bahanuzi pia alikuwa mwiba leo |
![]() |
| Mpira uende, wewe ubaki; Beki Juma Abdul akimdhibiti Derick Walullya wa URA |
![]() |
| Didier Kavumbangu akimkimbiza Derrick Walullya |
![]() |
| Kavumbangu akimruka kipa wa URA, Yassin Mugabi aliyefanikiwa kuokoa mpira miguuni mwa mshambuliaji huyo wa Yanga SC |
![]() |
| Kocha Mholanzi wa Yanga SC, Ernie Brandts kulia, akiwa na Wasaidizi wake Freddy Felix Minziro, Razack Ssiwa na Daktari Nassor Matuzya |
![]() |
| Walipofufuka; Mashabiki wa Yanga kwa muda mrefu walikuwa wamemwagiwa maji, kabla ya kuzinduka dakika za lala salama kwa mabao ya Kavumbangu na Tegete |
![]() |
| Huyu hatari; Lutambi Yayo akishangilia bao la pili aliloifungia URA leo. Mchezaji huyo alifunga mabao yote dhidi ya SImba SC jana na leo pia kafunga yote. |
![]() |
| Kikosi cha URA leo |
![]() |
| Kikosi cha Yanga SC leo |
![]() |
| Shabiki wa Yanga SC, wakati timu yake ipo nyuma kwa mabao 2-0 |




















.png)