• HABARI MPYA

    Friday, July 12, 2013

    MKENYA WANYAMA ATUA RASMI LIGI KUU ENGLAND KWA DAU LA REKODI

    IMEWEKWA JULAI 12, 2013 SAA 12:55 ASUBUHI
    KIUNGO Victor Wanyama amewatumia ujumbe wa kuwaaga Celtic na mashabiki wao baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 12 kutua Southampton. 
    Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Kenya mwenye umri wa miaka 22, ambaye alitambulishwa rasmi St Mary’s baada ya kusaini Mkataba wa miaka minne akipewa mshahara wa Pauni 30,000 kwa wiki, amesema amefurahi mno kutua Ligi Kuu ya Engkand.
    New boy: Mauricio Pochettino welcomes Victor Wanyama to the Saints
    Silaha mpya: Mauricio Pochettino akimkaribisha Victor Wanyama kwa Watakatifu

    Usajili wake umevunja rekodi ya dau kubwa la usajili la Pauni Milioni 9.5 zilizolipwa na Spartak Moscow kumnunua mchezaji mwingine wa Celtic, Aiden McGeady mwaka 2011. Kwa Southampton imejirudia, kwani kabla ya hapo dau kubwa kwao kutoa kusajili ilikuwa Pauni Milioni 12 walipomnunua mchezaji wa Bologna, Gaston Ramirez msimu uliopita.
    Moving south: Wanyama will join the south coast side despite interest from Cardiff
    Wanyama katika ofisi mpya
    Up against the best: Wanyama tasted victory over Barcelona last season with Celtic in the Champions League
    Akipambana na walio bora: Wanyama alifunga bao dhidi ya Barcelona msimu uliopita katika Ligi ya Mabingwa
    Keeping fit: Wanyama had been training in Germany with the Scottish Premier League champions
    Kujiweka fiti: Wanyama amekuwa mazoezini nchini Ujerumani na mabingwa hao wa Ligi Kuu Scotland
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MKENYA WANYAMA ATUA RASMI LIGI KUU ENGLAND KWA DAU LA REKODI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top