MOURINHO ASAINI BEKI LA KATI CHELSEA KINDA LA MIAKA 19 KUTOKA UFARANSA
KOCHA Jose Mourinho amekamilisha usajili wa Kurt Zouma kutoka klabu ya St-Etienne.
Chelsea imekubali kulipa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 12.5 kwa ajili ya beki huyo wa kati kinda wa umri wa miaka 19, ambaye atabakia Ufaransa kumalizia msimu.
+5
Kujiamini: Kurt Zouma amejiunga na Chelsea lakini atabakia St Etienne kumalizia msimu
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment