RASMI KALLSTROM NI MCHEZAJI WA ARSENAL, AMETUA KWA MKOPO HADI MWISHONI MWA MSIMU
Arsenal imemsaini kwa mkopo hadi mwishoni mwa msimu wa 2013/2014 kiungo wa kimataifa wa Sweden, Kim Kallstrom (pichani) kutoka klabu ya Spartak Moscow, baada ya kufuzu vipimo vya afya leo.
0 comments:
Post a Comment