MECHI ZOTE ZA UFUNGUZI LIGI KUU 'LIVE' AZAM TV, KAMA HUNA KING'AMUZI CHAO, IMEKULA KWAKO!
Bango hili linaonyesha mechi za ufunguzi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, zitakazoonyeshwa moja kwa moja na Azam TV siku za Jumamosi na Jumapili. Ving'amuzi vya Azam TV sasa vinapatikana nchi nzima, kwa ambao hawajavinunua wanaweza kuchangamka haraka ili wasikose uhondo wa Ligi Kuu, mzunguko wa pili utakaomua bingwa.
0 comments:
Post a Comment