![]() |
Wanenguaji wa Extra Bongo wakipagawisha jana Ngamia |
![]() |
Rapa wa Extra wa Bongo, Greyson Semsekwa akifanya yake jana |
![]() |
Tukiwa tunaondoka nifuate; Mwimbaji wa Extra Bongo, Ramadhani Masanja 'Banza Stone' akiteta na shabiki wake wa kike wakati anaimba |
![]() |
Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ally Choky kulia |
![]() |
Otilia Boniface alishuka chini kucheza na shabiki huyu wa kiume |
![]() |
Mnenguaji Asha Sharapova kushoto pembenki ya Banza Stone |
![]() |
Mashabiki wa Extra Bongo wakicheza |
![]() |
Ufundi dhidi ya fundi; Mashabiki wa Extra Bongo wakicheza na Otilia |
![]() |
Wapendanao; Shabiki wa Extra Bongo akicheza na mpenzi wake kushoto |
0 comments:
Post a Comment