![]() |
| Mchezaji wa Azam FC, Sadallah Mohamed kulia akichuana na Aziz wa Simba |
![]() |
| Mshambuliaji Jamal Mchaulu 'Balotelli' wa Azam FC akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba SC, Omar Hussein |
![]() |
| Mchezaji wa Azam FC, Christopher Mshanga kulia akimtoka mchezaji wa Simba, Omar Hussein |
![]() |
| Wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Simba SC, Amisi Tambwe na Shaaban Kisiga walikuwepo Karume kushuhudia wadogo zao |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Malik Mussa kushoto akimtoka beki wa Simba SC, Mbaraka Yussuf |
![]() |
| Mchezaji wa Azam FC, Adam Omar akimuacha chini mchezaji wa Simba |
![]() |
| Kocha Mkuu wa Azam FC, Mcameroon Joseph Marius Omog alikuwepo |
![]() |
| Kocha Mkuu wa Simba SC, Mcroatia Zradvko Logarusic (katikati) alikuwepo |











.png)
0 comments:
Post a Comment