Mkurugenzi wa African Lyon ya Daraja la Kwanza, Rahim Kangenzi 'Zamunda' kulia akibadilishana mikataba na beki Hassan Isihaka baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu na kupewa donge nono la Sh. Milioni 18. Msimu uliopita alicheza kwa mkopo Lyon na sasa klabu hiyo imeamua kumchukua jumla, kufuatia kumaliza mkataba wake Simba SC.
0 comments:
Post a Comment