• HABARI MPYA

    Saturday, July 19, 2014

    SERENGETI BOYS ILIVYOPAMBANA NA AMAJIMBOS JANA CHAMAZI

    Winga wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Abdul Bitebo akigombea mpira na beki wa Afrika Kusini, Amajimbos, Nelson Maluleke katika mchezo wa kwanza, Raundi ya Pili kuwania tiketi ya Fainali za Afrika mwakani nchini Niger uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 0-0.
    Mshambuliaji wa Serengeti Boys, Baraka Yussuf akimiliki mpira mbele ya mabeki wa Amajimbos
    Mshambuliaji wa Serengeti Boys, Athanas Mdamu kulia akimtoka beki wa Amajimbos
    Hatari kwenye lango la Amajimbos
    Baraka Yussuf wa Serengeti Boys akimtoka beki wa Amajimbos, Keanu Cupido

    Winga wa Serengeti Boys, Ali Mabuyu akimiliki mpira mbele ya beki wa Amajimbos

    Kiungo wa Serengeti, Prosper Mushi akimlamba chenga kiungo wa Amajimbos, Katlego Mohamme


    Kikosi cha Serengeti Boys jana
    Rais wa TFF, Jamal Malinzi aliongoza wadau jana kuisapoti Serengeti Boys

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERENGETI BOYS ILIVYOPAMBANA NA AMAJIMBOS JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top