• HABARI MPYA

    Wednesday, August 06, 2014

    HOWARD WEB ATUNGIKA KIPYENGA, SASA BOSI WA MAREFA

    REFA maarufu England, Howard Webb amestaafu kupuliza kipyenga baada ya miaka 25-na sasa atakuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa taasisi ya marefa (PGMOL).
    Refa huyo mwenye heshima kubwa amechezesha mechi zaidi ya 500 za Ligi Kuu ya England na nyingine za mashindano ya soika nchini humo tangu apande daraja mwaka 2003.
    Webb pia amechezesha fainali mbili za Kombe la Dunia na mbili za Kombe la Mataifa ya Ulaya, kabla ya kuweka rekodi ya kuwa refa wa kwanza kucheza fainali Euro na Kombe la Dunia kwa mwaka mmoja, 2010.

    Ametungika kipyenga: Howard Webb amehitimisha maisha yake ya urefa 
    Top level: Webb, seen here with Manchester United striker Wayne Rooney, has taken charge of more than 500 matches in the Premier League and Football League since becoming a Select Group official in 2003
    kashfa moja kubwa ya Webb enzi zake ilikuwa ni kuibeba Manchester United, hapa anazungumza na mshambuliaji wa timu hiyo, Wayne Rooney katika moja ya mechi alizochezesha
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HOWARD WEB ATUNGIKA KIPYENGA, SASA BOSI WA MAREFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top