ARSENAL ILE KAMILI GADO KUELEKEA 'GEMU' NA WATURUKI KESHO LIGI YA MABINGWA
Maandalizi: Kocha Arsene Wenger akiiongoza Arsenal mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa marudiano wa mchujo Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Beskitas Uwanja wa Emirates kesho. Kutokana na Olivier Giroud kuwa majeruhi kwa sasa, Alexis Sanchez anatarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji
Alex Oxlade-Chamberlain akifanya mazoezi na wenzake Arsenal kuelekea mchezo na Besiktas
Arsenal itahitaji Mesut Ozil acheze kwa kiwango cha juu ili kuing'oa Besiktas baada ya sare ya mchezo wa kwanza ugenini
0 comments:
Post a Comment