TANZANIA YAFUNGWA NA UGANDA MICHUANO YA MAJESHI KIKAPU AFRIKA MASHARIKI
Mchezaji wa Tanzania, Mwalimu Kijogoo akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Uganda wakati wa mchezo wa mpira wa kikapu, michuano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Uwanja wa Gymkhana jioni ya leo, Zanzibar. Uganda ilishinda 59-54.
Wachezaji wakigombea mpira ambao umewaponyoka wote
0 comments:
Post a Comment