![]() |
| Luis Figo wa Real Madrid akimgeuza Mecky Mexime wa Tanzania Eleven jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Real walishinda 3-1. |
![]() |
| Luis Figo akiwa ameruka juu kupiga kichwa mpira dhidi ya Mecky Mexime |
![]() |
| Sabri Ramadhan 'China' akimzungusha Enrique Velasco wa Real Madrid |
![]() |
| Mfungaji wa mabao yote matatu ya Real Madrid jana, Reuben de La Red akitafuta maarifa ya kumtoka Habib Kondo |
![]() |
| Beki wa Real Madrid, Fernando Sanz akimzibia njia Duwa Said ili mpira utoke |
![]() |
| Kali Ongala akimtoka Fernando Sanz |
![]() |
| Jorge Lopez akiwafunga tela Yussuf Macho na Madaraka Selemani |
![]() |
| Nahodha wa Tanzania Eleven, Mwameja Mohamed akimtambulisha Waziri Habari Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara kwa George Masatu. Katikati ni Iddi Moshi |
![]() |
| Reuben de La Red akijiandaa kumlamba chenga Duwa Said |
![]() |
| Sabri China akimzunguka Enrique Velasco |
![]() |
| Enrique Velasco akiupitia mpira miguuni mwa Mecky Mexime |
![]() |
| Mao Mkami 'Ball Dancer' akitoka beki wa Real Madrid |
![]() |
| Mao Mkami akimfunga tela beki wa Real Madrid |
![]() |
| Mchezaji wa Real Madrid akiwaunga mabehewa wacheaji wa Tanzania Eleven |
















.png)
0 comments:
Post a Comment