![]() |
| Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho kulia akimtoka beki wa Shangani katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 2-0. |
![]() |
| Coutinho akimuacha chini beki wa Shangani |
![]() |
| Coutinho akimzunguka beki wa Shangani |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Geilson Santana 'Jaja' akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Shangani |
![]() |
| Winga wa Yanga SC Simon Msuba akimpiga tobo beki wa Shangani |
![]() |
| Coutinho akimkimbiza beki wa Shangani |
![]() |
| Kona iliyoelekezwa lango mwa Shangani, Hussein Javu akiwa ameruka na kipa wa Shangani |
![]() |
| Haruna Niyonzima akiwatoka mabeki wa Shangani |










.png)
0 comments:
Post a Comment