![]() |
Rais wa Simba SC kushoto akiwa na mmoja wa Wakurugenzi wa Azam FC, Yussf Bakhresa kulia walipokutana mchana wa leo, ofisi za Azam TV, Tabata Relini, Dar es Salaam. |
![]() |
Kutoka kulia Bakhresa, Aveva na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Collins Frisch |
![]() |
Aveva na Yussuf Bakhresa walifanya mazungumzo ya takriban 30 Azam TV |
![]() |
Aveva akimskiliza kwa makini Yussuf Bakhresa |
0 comments:
Post a Comment