SIYO MAYENU, NI KOCHA HABIB KONDO ANATOA MAELEKEZO KWA VIJANA WAKE VILLA SQUAD
Kocha wa Villa Squad, Habib Kondo (kushoto) akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza dhidi ya Lipuli FC ya Iringa jioni ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Lipuli ilishinda 1-0.
0 comments:
Post a Comment