Mkurugenzi wa benchi la Ufundi la Stand United, Muhibu Kanu (kushoto) akimkabidhi jezi ya timu hiyo, mshambuliaji Charles Mishetto aliyekuwa anacheza soka ya kulipwa Ligi Daraja la Nne Ujerumani baada ya kumsainisha leo maeneo ya Tabta, Dar es Salaa leo.
0 comments:
Post a Comment