IRENE UWOYA ALIVYOJIACHIA NA MUMEWE KATAUTI RWANDA
Mwigizaji Irene Uwoya akiwa na mumewe, Hamad Ndikumana 'Katauti' mjini Kigali, Rwanda wakati akimsindikiza Uwanja wa Ndege kurejea Dar es Salaam. Irene alimtembelea mumewe mjini humo wiki iliyopita. Habari zaidi na Picha Nenda; http://www.rwandapals.com/nyuma-yibihe-byiza-bagiranye-katauti-yaherekeje-umugore-we-oprah-asubira-tanzania-amafoto/
0 comments:
Post a Comment