• HABARI MPYA

    Monday, November 10, 2014

    SOMO HUYU WATAONDOKA WOTE MADARAKANI, BENCHI LA UFUNDI YEYE HANG'OKI SIMBA SC

    Mtunza vifaa wa Simba SC, Hassan Suleiman maarufu kwa jina la Somo akiwa kwenye benchi na kiungo Mrundi wa klabu hiyo, Pierre Kwizera. Huyo ndiye mtu pekee katika benchi la Ufundi la Simba SC ambaye huwa hakumbwi na upepo wa mabadiliko kuanzia ya safu ya uongozi hadi benchi la ufundi. Amekuwepo kwenye benchi la Ufundi, tangu Mwenyekiti Hassan Daalal na kocha Patrick Phiri alipokuja Simba SC mara ya kwanza mwaka 2005.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SOMO HUYU WATAONDOKA WOTE MADARAKANI, BENCHI LA UFUNDI YEYE HANG'OKI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top