Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > AZAM FC YACHAPWA 1-0 NA TP MAZEMBE HABARI ZA NYUMBANI AZAM FC YACHAPWA 1-0 NA TP MAZEMBE Azam FC imefungwa bao 1-0 na TP Mazembe katika mashindano ya timu nne yaliyoanza leo mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hata hivyo, taarifa haijamtaja mfungaji wa bao la Mazembe. Wednesday, January 28, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment