Washambuliaji, Emmanuel Okwi wa Simba SC (kushoto) na Kipre Tchetche wa Azam FC (kulia) wakipambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, bao la Simba akifunga Okwi kipindi cha kwanza na la Azam Kipre Tchetche kipindi cha pili.
0 comments:
Post a Comment