HUKU ANAMSIKILIZA NDUGU MTANGAZAJI, WAKATI ANASHUHUDIA MWENYEWE MECHI 'LIVE' TAIFA
Shabiki wa Simba SC akisikiliza matangazo ya Redio ya mechi kati ya timu yake, dhidi ya Mbeya City jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam huku akishuhudia kipute hicho yeye mwenyewe uwanjani. Simba SC ilifungwa 2-1. Baadhi ya mashabiki hupenda kwenda na Redio zao uwanjani, ili waweze kujua vizuri kinachoendelea na pia kuwafahamu wachezaji.
0 comments:
Post a Comment