MAKOCHA WAPYA SIMBA SC WAWASILI PAMOJA MKENYA NA MUINGEREZA
Kocha Mkuu mpya wa Simba SC, Muingereza Dylan Kerr (kushoto) akiwa na kocha mpya wa makipa wa timu hiyo, Abdul Iddi Salim (kulia) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jioni ya leo tayari kuanza kazi Msimbazi.
0 comments:
Post a Comment