![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akicheza ngoma ya asili ya kwao Ivory Coast na mkewe mwishoni mwa wiki baada ya kufunga pingu za maisha nchini humo. |
![]() |
| Wapambe wa Bi harusi wakifurahia katika sherehe hizo |
![]() |
| Maharusi wakifurahia kutimiza ahadi yao ya kuiunganisha miili yao kuwa mmoja |
![]() |
| Kipre Tchetche anatarajiwa kuwasili wiki hii kuendelea na kazi Azam FC baada ya kukamilisha zoezi hilo |






.png)
0 comments:
Post a Comment