Mwanzo > HABARI ZA ULAYA > DEPAY AINUSURU BARCELONA KUCHAPWA LA LIGA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA KIMATAIFA HABARI ZA ULAYA DEPAY AINUSURU BARCELONA KUCHAPWA LA LIGA BAO la mshambuliaji Mholanzi, Memphis Depay dakika ya 75 liliisaidia Barcelona kupata sare ya 1-1 na wenyeji, Athletic Club Bilbao waliotangulia kwa bao la Ínigo Martinez dakika ya 50 katika mchezo wa La Liga Uwanja wa San Mames Barria, Bilbao. Sunday, August 22, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA KIMATAIFA HABARI ZA ULAYA
0 comments:
Post a Comment