SPURS YAWATULIZA MABINGWA WATETEZI MAN CITY 1-0 LONDON
BAO pekee la Son Heung-min dakika ya 55 limetosha kuipa Tottenham Hotspur ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Jijiji London.
0 comments:
Post a Comment