Mwanzo > YANGA > SENZO ATEULIWA MTENDAJI MKUU YANGA SC HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA SENZO ATEULIWA MTENDAJI MKUU YANGA SC UONGOZI wa Yanga leo umemtangaza Senzo Mbatha Mazingiza, raia wa Afrika Kusini kuwa Mtendaji Mkuu wa Muda kufuatia utekelezwaji wa mfumo mpya wa uendeshaji. Tuesday, August 31, 2021 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment