Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > AZAM FC YATUA ZAMBIA KUWEKA KAMBI AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI AZAM FC YATUA ZAMBIA KUWEKA KAMBI KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama jijini Ndola, Zambia kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpyaMara baada ya kuwasili, kikosi hicho kitapumzika kabla ya kuendelea na programu ya mazoezi kesho Jumanne, asubuhi na jioni. Monday, August 23, 2021 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment