ARAJIGA NA WENZAKE WAFUNGIWA KWA KUVURUNDA LIGI KUU
MAREFA kadhaa, akiwemo Ahmed Arajiga wamefungiwa, au kuondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu kwa makosa tofauti, yote yakiashiria mapungufu makubwa ya kitaaluma kwao.
0 comments:
Post a Comment