Mwanzo > LIGI KUU BARA > BODI YAUFUNGIA TENA UWANJA WA MABATINI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA BODI YAUFUNGIA TENA UWANJA WA MABATINI BODI ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imeufungia tena Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani baada ya kubaini bado haukidhi vigezo vya mechi za ligi hiyo. Saturday, January 15, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA
0 comments:
Post a Comment