ZOEZI LA UANDIKISHAJI WANACHAMA KIDIJITALI YANGA LAANZIA ZENJI
ZOEZI la usajili wa wanachama katika mfumo wa Kidijitali na utoaji wa elimu juu ya faida za kuwa uanachama wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam limeanza rasmi eneo la Abla Beach Apartments, Barabara ya Malawi, visiwani Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment