KLABU ya Singida Big Stars iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu ujao, imetangaza kumsajili mshambuliaji Habib Kyombo kutoka Mbeya Kwanza. Kyombo ambaye alikuwa anahusishwa na vigogo, Simba anaondoka Mbeya Kwanza ipo hatarini kushuka Daraja, hadi sasa ikiwa inashika mkia katika Ligi Kuu.
0 comments:
Post a Comment