WADHAMIMI wakuu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, benki ya NBC wameipa msaada wa fedha Sh. Milioni 50 timu ya Singida Big Stars ya Singida. Singida ikiwa inatumia jina la DTB katika Championship msimu huu, imefanikiwa kupanda Ligi Kuu msimu ujao kabla ya kubadili jina mwezi uliopita.
0 comments:
Post a Comment