YANGA WALIPOZURU BUNGENI DODOMA JANA KUONYESHA KOMBE LAO
Wachezaji wa Yanga wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana baada ya kwenda kuonyesha Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, hiyo ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya zoezi hilo kwa mikoa kadhaa
0 comments:
Post a Comment