SIMBA SC YAMPELEKA MSANIFU KUKAGUA ENEO KA UJENZI WA UWANJA
MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez akiongozana na Msanifu Majengo kutembelea eneo la klabu hiyo liliopo Bunju Jijini Dar es Salaam kukagua mipaka na eneo ambalo litatumika kwenye ujenzi zikiwa zimebaki siku chache kabla ya Bodi ya Wakurugenzi kukutana ili kupitisha mkandarasi atakayejenga.
0 comments:
Post a Comment