BAO pekee la Rashid Chambo dakika ya tatu limetosha kuipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Luu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 14 na kusogea nafasi ya sita, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake tisa nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 10.
0 comments:
Post a Comment