BOCCO, NDEMLA NA DILUNGA WAUMIA AJALI YA BASI LA JKT TANZANIA
WACHEZAJI kadhaa wa JKT Tanzania wamerepotiwa kuumia katika ajali ya basi lao wakitokea Dodoma ambako jana walikuwa wana mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji na kufungwa 1-0.
0 comments:
Post a Comment