• HABARI MPYA

    Monday, May 21, 2012

    HASHEEM THABEET AKIONYESHA MITINDO YA MAVAZI DAR JANA


    Mchezaji wa mpira wa Kikapu, Hasheem Thabeet, akipita jukwaani na vazi la asili kwa mikogo,  wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012
    MBunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji, akipita jukwaani na vazi la Harusi kwa mikogo,  wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012


    Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa wanachama wa Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation’,  Joha Simba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Me i 20, 2012
    Mke wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mama Margareth Samue Sitta, akipita jukwaani na vazi la asili kwa mikogo, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012.(picha zote na Amour Nassor)



    SOURCE: DINA ISMAIL (http/mamapipiro.blogspot.com)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HASHEEM THABEET AKIONYESHA MITINDO YA MAVAZI DAR JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top