• HABARI MPYA

    Tuesday, June 12, 2012

    JULIO AKIPIGA KAZI NA JUA LA ADHUHURI

    Kocha wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio' kushoto akiwanoa vijana wake katika jua kali la adhuhuri, Uwanja wa Karume, Ilala mjini Dar es Salaam leo. Julio analazimika kufanya kazi muda huo, ili kuwahi kuwapisha timu ya wakubwa, Taifa Stars inayoanza mazoezi alasiri.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JULIO AKIPIGA KAZI NA JUA LA ADHUHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top