KLABU ya Arsenal imetangaza kumsajili mwanasoka wa kimataifa wa Ufaransa, Olivier Giroud (pichani) kwa mkataba wa muda mrefu. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25 amekamilisha vipimo vya afya kabla ya kusaini mkataba katika Uwanja wa mazoezi jana jioni London.
|
You know who loves the Epstein scandal? President-in-waiting JD Vance. |
Opinion
-
As the Jeffrey Epstein scandal engulfs President Donald Trump, I suspect
president-in-waiting JD Vance is secretly smiling.
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment