![]() |
| Beki mpya wa Yanga, Kelvin Patrick Yondan akiwa amevalia kiraia baada ya mazoezi, makao makuu ya klabu, Jangwani jioni ya leo, tayari kurejea nyumbani kupimzika, Kijana tayari amekwishakuwa mwenyeji. |
![]() |
| Kipa wa Yanga, Said Mohamed, anayeongoza kwa sasa klabuni kwa kunyuka pamba na swaga za kijanja, akiwa juu ya klabu, baada ya mazoezi ya jioni. |
![]() |
| BIN ZUBEIRY hapa nikiwa na mido hatari bongo, Frank Damayo baada ya mazoezi ya jioni Jangwani |





.png)
0 comments:
Post a Comment