Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) mkoani Mwanza, Octavian Magire (kushoto) akitoa maelezo mafupi kuhusiana na promosheni ya "Vumbua Hazina Chini ya Kizibo" inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi ya jenereta kwa mshindi Isaya Charles anayesikiliza (kulia) ambaye ni mkazi wa Igoma Jijini Mwanza. |
Liverpool 1-1 Chelsea: What Slot said
-
Liverpool have dropped nine points from winning positions in Premier League
home games this season, their most at Anfield in a single campaign since
2015-1...
5 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment