Jo-Wilfried Tsonga wa Ufaransa, akishangilia baada ya kushinda raundi ya kwanza kwa wanaume katika michuano ya Wimbledon ya tenisi kwa mchezaji mmoja mmoja dhidi ya Lleyton Hewitt wa Australia katika siku ya pili ya michuano hiyo, All England Lawn Tennis na Croquet Club leo mjini London, England.
0 comments:
Post a Comment