Meneja mkuu wa shirika la ndege la Fly540 bw. Brown Francis
kushoto akizungumza katika mkutano navyombo vya Habari jijini Dar es Salaam leo
katika wakati akiomba radhi kwa wateja wake kutokana na tatizo lilitokea wiki
iliyopita na kupelekea abiria wake kuchelewa katika safari yao, baada ya ndege
waliyokuwa wasafiri nayo kupata hitilafu. Kulia ni Meneja Masoko wa kampuni
hiyo, Bi .Jean Uku.
0 comments:
Post a Comment